Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Oktoba uku. 6
  • Oktoba 28–Novemba 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 28–Novemba 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Oktoba uku. 6

Oktoba 28–Novemba 3

2 PETRO 1-3

  • Wimbo 114 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Weka Karibu Akilini Kuwapo kwa Siku ya Yehova”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Petro.]

    • 2Pe 3:9, 10—Siku ya Yehova haitachelewa (w06 12/15 27 ¶11)

    • 2Pe 3:11, 12—“Fikirieni mnapaswa kuwa watu wa aina gani” (w06 12/15 19 ¶18)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 2Pe 1:19—“Nyota ya mchana” ni nani, alichomoza lini, na tunawezaje kuwa na uhakika kwamba hilo lilitokea? (w08 11/15 22 ¶2)

    • 2Pe 2:4—“Tartaro” ni nini, na malaika waasi walitupwa humo lini? (w08 11/15 22 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 2Pe 1:1-15 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 7)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 154-155 ¶3-4 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 96

  • “Unalithamini Neno la Mungu Kadiri Gani?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Walithamini Biblia—Kisehemu (William Tyndale).

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 88 ¶12-19

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 49 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki