Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 4
  • Novemba 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 4

Novemba 11-17

2 YOHANA 1-13; 3 YOHANA 1-14–YUDA 1-25

  • Wimbo 128 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Tunapaswa Kufanya Pigano Kali Ili Kubaki Katika Kweli”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Yohana.]

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 3 Yohana.]

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Yuda.]

    • Yuda 3—“[Fanyeni] pigano kali kwa ajili ya imani” (w04 9/15 11-12 ¶8-9)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yuda 4, 12—Kwa nini watu wasiomwogopa mungu walioingia kisiri kutanikoni walifananishwa na “miamba iliyo chini ya maji katika karamu . . . za kuonyesha upendo”? (it-2 279, 816)

    • Yuda 14, 15—Kwa nini Enoko alizungumza kuhusu tukio la wakati ujao kana kwamba tayari limetokea, na unabii huo ulitimizwaje? (wp17.1 12 ¶1, 3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 2Yo 1-13 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha umwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 87

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 90

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 147 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki