Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 3
  • Epuka Uvutano wa Ulimwengu Unapopanga Harusi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Epuka Uvutano wa Ulimwengu Unapopanga Harusi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Ongeza Shangwe na Heshima ya Siku Yako ya Arusi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Arusi za Kikristo Ambazo Zinaleta Furaha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Arusi Zenye Shangwe Zinazomletea Yehova Heshima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Arusi Zinazomheshimu Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 3
Picha ya familia wakati wa harusi

MAISHA YA MKRISTO

Epuka Uvutano wa Ulimwengu Unapopanga Harusi

Wachumba Wakristo wanapopanga harusi yao wanakuwa na maamuzi mengi ya kufanya. Huenda wakahisi wanashinikizwa kufanya harusi yao iwe ya kifahari kama ilivyo kawaida katika jamii yao. Marafiki na watu wa familia wenye nia nzuri huenda wakawa na maoni kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa wakati wa harusi. Ni kanuni zipi za Biblia zinazoweza kuwasaidia kupanga siku yao ya pekee kwa njia itakayowaacha na dhamiri safi na bila majuto?

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA HARUSI ZINAZOMLETEA YEHOVA HESHIMA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Kanuni zifuatazo za Biblia ziliwasaidiaje Nick na Juliana?

    • 1Ko 10:31

    • 1Yo 2:15, 16

    • Gal 5:19-21

    • 1Ti 2:9

  • Kwa nini wachumba wanapaswa kumchagua ndugu Mkristo ambaye amekomaa kiroho kuwa “msimamizi wa karamu”?—Yoh 2:9, 10.

  • Ni nini kilichowaongoza Nick na Juliana kufanya maamuzi waliyofanya kwa ajili ya harusi yao?

  • Ni nani anayewajibika kufanya maamuzi ya mwisho kuhusu harusi yenyewe na karamu ya harusi?​—w06 10/15 25 ¶10.

Picha: Sehemu za video yenye kichwa ‘Harusi Zinazomletea Yehova Heshima.’ Nick na Juliana ni wachumba ambao ni Wakristo, wanapanga harusi yao na hivyo wanahitaji kufanya maamuzi mbalimbali. 1. Kila mmoja wao akisali kibinafsi. 2. Kifaa cha mkononi na karatasi zinazoonyesha utafiti waliofanya. 3. Wachumba hao wakifanya mipango ya ndoa pamoja na washiriki wa familia. 4. Wachumba hao wakiandaa mialiko ya harusi pamoja na washiriki wa familia na marafiki zao.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki