Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 6
  • Wapanda Farasi Wanne Katika Mwendo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wapanda Farasi Wanne Katika Mwendo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Utangulizi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2017
  • Wapanda Farasi Wanne​—Jinsi Wanavyokuhusu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2017
  • Wapanda Farasi Wanne​—Jinsi Wanavyokuhusu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2017
  • Wapanda Farasi wa Kitabu cha Ufunuo—Jinsi Unavyopatwa na Matokeo ya Upandaji Wao
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | UFUNUO 4-6

Wapanda Farasi Wanne Katika Mwendo

6:2, 4-6, 8

Yesu akiwa amepanda farasi mweupe na akiwa na upinde mkononi; amefuatwa na farasi wa rangi ya moto, farasi mweusi, na farasi wa rangi ya kijivu

Yesu ‘alienda akishinda’ kwa kupigana na Shetani na roho wake waovu mbinguni na kuwatupa duniani. Yesu anaendelea kushinda kwa niaba ya watumishi wake kwa kuwasaidia na kuwalinda katika siku hizi za mwisho. ‘Atakamilisha ushindi wake’ anapokomesha mbio za wapanda farasi wale watatu kwenye Har–Magedoni na baada ya hapo kuondoa madhara yaliyosababishwa na wapanda farasi hao.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki