Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 6
  • Novemba 25–Desemba 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 25–Desemba 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 6

Novemba 25–Desemba 1

UFUNUO 4-6

  • Wimbo 22 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Wapanda Farasi Wanne Katika Mwendo”: (Dak. 10)

    • Ufu 6:2—Mpandaji wa farasi mweupe ‘alienda akishinda’ (wp17.3 4 ¶3 5)

    • Ufu 6:4-6—Nyuma yake kulikuwa na mpandaji wa farasi mwekundu na mpandaji wa farasi mweusi (wp17.3 5 ¶2 4-5)

    • Ufu 6:8—Kisha akafuata mpandaji wa farasi mwenye rangi ya kijivu, akifuatwa na Kaburi (wp17.3 5 ¶8-10)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ufu 4:4, 6—Wale wazee 24 na wale viumbe hai 4 wanawakilisha nini? (re 76-77 ¶8; 80 ¶19)

    • Ufu 5:5—Kwa nini Yesu anaitwa “Simba wa kabila la Yuda”? (cf 36 ¶5-6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 4:1-11 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 53 ¶15 (th somo la 2)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 46

  • “Yehova Anampenda Mtoaji Mchangamfu”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Anza kwa kuonyesha video yenye kichwa Mwongozo wa Kutoa Michango Kielektroni. Wajulishe wahubiri kwamba wanaweza kupata habari kuhusu michango kwa kubofya kitufe cha Michango kwenye jw.org na kwenye JW Library au kwa kuandika donate.jw.org kwenye sehemu ya anwani. Soma barua kutoka kwenye ofisi ya tawi ya kutoa shukrani kwa michango iliyopokewa mwaka wa utumishi uliopita. Lishukuru kutaniko kwa ukarimu wake.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 92

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 43 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki