Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 3
  • Je, Unaweza Kuwaeleza Wengine Kuhusu Imani Yako?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Unaweza Kuwaeleza Wengine Kuhusu Imani Yako?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Mtaalamu wa Magonjwa ya Mifupa Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
    Amkeni!—2013
  • Uumbaji au Mageuzi?—Sehemu ya 3: Kwa Nini Uamini Uumbaji?
    Vijana Huuliza
  • Kuwasaidia Wengine Wamheshimu Mfanyi Wetu
    Huduma Yetu ya Ufalme—1994
  • Uumbaji au Mageuzi?—Sehemu ya 4: Ninawezaje Kueleza Imani Yangu Kuhusu Uumbaji?
    Vijana Huuliza
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 3
Ndugu akimsomea andiko mfanyakazi mwenzake wakati wa mapumziko ya mchana.

MAISHA YA MKRISTO

Je, Unaweza Kuwaeleza Wengine Kuhusu Imani Yako?

Mtu akikuuliza kwa nini unaamini uumbaji, utasemaje? Ili ujibu kwa uhakika, unapaswa kufanya angalau mambo mawili: Kwanza, unapaswa kujithibitishia kwamba uumbaji ni jambo halisi. (Ro 12:1, 2) Kisha, unapaswa kufikiria jinsi unavyoweza kumfafanulia mtu mwingine kuhusu imani yako.—Met 15:28.

ONYESHA VIDEO MTAALAMU WA MIFUPA ANAELEZA KWA NINI ANAMWAMINI MUNGU NA MTAALAMU WA WANYAMA ANAELEZA KWA NINI ANAMWAMINI MUNGU ILI KUONA SABABU AMBAZO ZIMEWAFANYA WENGINE WAAMINI UUMBAJI, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Picha inayoonyesha jinsi goti lilivyo kwa ndani.

    Kwa nini Irène Hof Laurenceau anaamini uumbaji badala ya mageuzi?

  • Yaroslav Dovhanych.

    Kwa nini Yaroslav Dovhanych anaamini uumbaji badala ya mageuzi?

  • Unaweza kumfafanuliaje mtu sababu zinazofanya uamini uumbaji?

  • Tengenezo la Yehova limeandaa habari gani katika lugha yako ambazo zinaweza kukusaidia ujithibitishie wewe mwenyewe na wengine kwamba Mungu aliumba vitu vyote?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki