Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 4
  • Januari 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 4

Januari 13-19

MWANZO 3-5

  • Wimbo 72 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Matokeo Mabaya ya Uwongo wa Kwanza”: (Dak. 10)

    • Mwa 3:1-5—Ibilisi alimchongea Mungu (w17.02 5 ¶9)

    • Mwa 3:6—Adamu na Hawa walikosa kumtii Mungu (w00 11/15 25-26)

    • Mwa 3:15-19—Mungu aliwahukumu waasi (w12 9/1 4 ¶2; w04 1/1 29 ¶2; it-2 186)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 4:23, 24—Kwa nini Lameki alitunga shairi hili? (it-2 192 ¶5)

    • Mwa 4:26—Inawezekana watu walianza “kuliitia jina la Yehova” katika njia gani katika siku za Enoshi? (it-1 338 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 4:17–5:8 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Ni jambo gani lililokupendeza katika utangulizi? Tunajifunza nini kuhusu muda ambao wahubiri walipanga kurudi?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha umwachie mwenye-nyumba gazeti la karibuni linalozungumzia jambo ambalo mwenye-nyumba ameuliza. (th somo la 2)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 63

  • “Jinsi ya Kuanzisha Mazungumzo kwa Kutumia Trakti”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video, na kisha zungumzieni jinsi video hiyo inavyoonyesha namna ya kuanzisha mazungumzo kwa kutumia trakti.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 99

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 85 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki