Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 6
  • Januari 27–Februari 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 27–Februari 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 6

Januari 27–Februari 2

MWANZO 9-11

  • Wimbo 101 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Dunia Yote Iliendelea Kuwa na Lugha Moja”: (Dak. 10)

    • Mwa 11:1-4—Baadhi ya watu waliamua kujenga jiji na mnara ili kupinga mapenzi ya Mungu (it-1 239; it-2 202 ¶2)

    • Mwa 11:6-8—Yehova alivuruga lugha yao (it-2 202 ¶3)

    • Mwa 11:9—Watu waliacha mradi huo na kutawanyika (it-2 472)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 9:20-22, 24, 25—Huenda ni kwa nini Noa alimlaani Kanaani badala ya Hamu? (it-1 1023 ¶4)

    • Mwa 10:9, 10—Ni kwa njia gani Nimrodi alikuwa “mwindaji hodari aliyempinga Yehova”? (it-2 503)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 10:6-32 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Ni nini kinachoonyesha kwamba wahubiri hao walijiandaa pamoja kabla ya ziara hiyo ya kurudia? Ndugu huyo alitumiaje chapisho lililo katika Sanduku la Vifaa vya Kufundishia kuanzisha funzo la Biblia?

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la ziara ya kurudia ya pili, kisha uanzishe funzo la Biblia kwa kutumia kitabu Biblia Inatufundisha. (th somo la 2)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 60

  • “Uwe Mfanyakazi Stadi”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mwangalizi wa utumishi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 101

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 56 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki