Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 6
  • “Dunia Yote Iliendelea Kuwa na Lugha Moja”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Dunia Yote Iliendelea Kuwa na Lugha Moja”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unazungumza Ile “Lugha Safi” kwa Ufasaha?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Lugha Safi Kwa Ajili Ya Mataifa Yote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Unganishweni Na Lugha Iliyo Safi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Namna Lugha Moja Itakavyoleta Umoja kwa Wanadamu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 6
Wajenzi wa mnara wa Babeli wakishindwa kuelewana baada ya Yehova kuvuruga lugha.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 9-11

“Dunia Yote Iliendelea Kuwa na Lugha Moja”

11:1-4, 6-9

Huko Babeli, Yehova aliwatawanya wanadamu waasi kwa kuvuruga lugha yao. Leo anakusanya umati mkubwa kutoka kwa mataifa na lugha zote na kuwapa “lugha safi” ili “waweze kuliitia jina la Yehova, [na] wamtumikie bega kwa bega.” (Sef 3:9; Ufu 7:9) “Lugha safi” ni ukweli kumhusu Yehova na kusudi lake kama linavyoonyeshwa kwenye Maandiko.

Kujifunza lugha mpya kunahusisha mambo mengi zaidi ya kukariri tu maneno mapya. Kunahusisha kujifunza njia mpya ya kufikiri. Vivyo hivyo, tunapojifunza lugha mpya ya kweli, akili zetu zinageuzwa. (Ro 12:2) Hilo ni jambo la kuendelea ambalo hutokeza umoja kati ya watu wa Mungu.—1Kor 1:10.

Ndugu na dada wakifurahia mazungumzo kabla ya mkutano.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki