Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 2
  • Machi 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 2

Machi 2-8

MWANZO 22-23

  • Wimbo 89 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mungu Alijaribu Utii wa Abrahamu”: (Dak. 10)

    • Mwa 22:1, 2—Mungu alimwambia Abrahamu amtoe dhabihu mwana wake mpendwa Isaka (w12 1/1 23 ¶4-6)a

    • Mwa 22:9-12—Yehova alimzuia Abrahamu asimuue Isaka

    • Mwa 22:15-18—Yehova aliahidi kumbariki Abrahamu kwa sababu ya utii wake (w12 10/15 23 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 22:5—Kwa nini Abrahamu alikuwa na uhakika alipowaambia watumishi wake kwamba yeye na Isaka wangerudi ingawa alitazamia kuwa angemtoa Isaka dhabihu? (w16.02 11 ¶13)

    • Mwa 22:12—Andiko hili linaonyeshaje kwamba Yehova huamua kutojua mambo fulani yatakayotokea wakati ujao? (it-1 853 ¶5-6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 22:1-18 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kuzungumza kwa Usadikisho, kisha mzungumzie somo la 15 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) it-1 604 ¶5—Kichwa: Kwa Nini Abrahamu Angeweza Kutangazwa Kuwa Mwadilifu Kabla ya Kifo cha Kristo? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 4

  • Utii Hutulinda: (Dak. 15) Onyesha video yenye kichwa Mkutano wa Kila Mwaka wa 2017—Hotuba na Andiko la Mwaka wa 2018.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 106

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 16 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; w = Mnara wa Mlinzi; it = Insight on the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Watu Wote; mwb = Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha; jl = Ni Nani Wanaofanya Mapenzi ya Yehova Leo?; km = Huduma Yetu ya Ufalme; yb = Kitabu cha Mwaka

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki