Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 2
  • “Mungu Alijaribu Utii wa Abrahamu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mungu Alijaribu Utii wa Abrahamu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Uthibitisho Mkubwa Zaidi wa Upendo wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Kwa Nini Mungu Alimwambia Abrahamu Amdhabihu Mwana Wake?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Jaribu la Imani
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Mungu Anajaribu Imani ya Ibrahimu
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 22-23

“Mungu Alijaribu Utii wa Abrahamu”

22:1, 2, 9-12, 15-18

Uchungu ambao Abrahamu alipata alipokuwa akijiandaa kumtoa dhabihu Isaka unatusaidia kuwazia uchungu ambao Yehova alihisi alipomtoa Mwana Wake, Yesu Kristo, awe dhabihu. (Yoh 3:16) Maneno ya Yehova kwenye mstari wa 2 yanaonyeshaje hisia zake nyororo?

Picha: 1. Abrahamu akiwa ameshika kisu akitazama mbinguni huku Isaka akiwa amelala juu madhabahu. 2. Yesu akiwa juu ya mti wa mateso.

Upendo wa Yehova unakuchocheaje?​—1Ko 6:20; 1Yo 4:11

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki