Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 3
  • Machi 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 3

Machi 9-15

MWANZO 24

  • Wimbo 132 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Isaka Apata Mke”: (Dak. 10)

    • Mwa 24:2-4—Abrahamu alimtuma mtumishi wake akamtafutie Isaka mke miongoni mwa watu waliomwabudu Yehova (wp16.3 14 ¶3)

    • Mwa 24:11-15—Mtumishi wa Abrahamu alikutana na Rebeka kwenye kisima (wp16.3 14 ¶4)

    • Mwa 24:58, 67—Rebeka alikubali kuolewa na Isaka (wp16.3 14 ¶6-7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 24:19, 20—Tunajifunza nini kutokana na matendo ya Rebeka kwenye mistari hii? (wp16.3 12-13)

    • Mwa 24:65—Kwa nini Rebeka alijifunika kichwa, na hilo linatufundisha nini? (wp16.3 15 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 24:1-21 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Mhubiri aliulizaje maswali kwa njia inayofaa? Mhubiri alijibuje maswali ya mwenye-nyumba kumhusu Yesu?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia mapendekezo ya kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia mapendekezo ya kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)

  • Mwaliko wa Ukumbusho: (Uzisidi dak. 3) Anza kwa kutumia mapendekezo ya kuanzisha mazungumzo. Mwenye-nyumba anaonyesha upendezi. Toa utangulizi na uzungumzie (lakini usionyeshe) video yenye kichwa Kumbuka Kifo cha Yesu. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 25

  • Kampeni ya Ukumbusho Itaanza Jumamosi, Machi 14: (Dak. 8) Mazungumzo. Mpe kila mtu nakala ya mwaliko na mzungumzie yaliyomo. Onyesha video ya mapendekezo, kisha zungumzeni kuihusu. Eleza mipango ya kutaniko lenu ya kumaliza eneo.

  • “Nitamkaribisha Nani?”: (Dak. 7) Mazungumzo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 107

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 9 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki