Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 3
  • Isaka Apata Mke

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Isaka Apata Mke
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Jaribu la Imani
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Uthibitisho Mkubwa Zaidi wa Upendo wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Mungu Anajaribu Imani ya Ibrahimu
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Isaka Anapata Mke Mzuri
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 3
Rebeka akimimina maji ndani ya chombo cha kuwanyweshea wanyama kwa kutumia mtungi mkubwa. Mtumishi wa Abrahamu akimtazama akiwa mbali.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 24

Isaka Apata Mke

24:2-4, 11-15, 58, 67

Mtumishi wa Abrahamu alitafuta mwongozo wa Yehova alipokuwa akimchagulia Isaka mke. (Mwanzo 24:42-44) Sisi pia tunapaswa kutafuta mwongozo wa Yehova kabla ya kufanya maamuzi makubwa maishani. Jinsi gani?

  • Sali

  • Chunguza Neno la Mungu na machapisho ya Kikristo

  • Tafuta msaada kutoka kwa Wakristo waliokomaa kiroho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki