Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 6
  • Machi 30–Aprili 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 30–Aprili 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 6

Machi 30–Aprili 5

MWANZO 29-30

  • Wimbo 93 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yakobo Anaoa”: (Dak. 10)

    • Mwa 29:18-20—Yakobo alikubali kumtumikia Labani kwa miaka saba ili amwoe Raheli (w03 10/15 29 ¶6)

    • Mwa 29:21-26—Labani alimdanganya Yakobo akampa Lea badala ya Raheli (w07 10/1 8-9; it-2 341 ¶3)

    • Mwa 29:27, 28—Yakobo alifanya yote aliyoweza licha ya hali hiyo ngumu

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 30:3—Kwa nini Raheli aliwaona watoto waliozaliwa na Bilha kuwa watoto wake? (it-1 50)

    • Mwa 30:14, 15—Kwa nini Raheli aliachilia nafasi ya kulala na mume wake kwa kubadilishana na baadhi ya dudai? (w04 1/15 28 ¶7)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Mwa 30:1-21 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Uwe Mwenye Kujenga na Mwenye Kutia Moyo, kisha mzungumzie somo la 16 la broshua Kufundisha.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 59 ¶21-22 (th somo la 18)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 57

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kuwahubiria Vipofu”: (Dak. 10) Mazungumzo yakiongozwa na mwangalizi wa utumishi. Uliza maswali yafuatayo: Kwa nini ni muhimu kuzingatia mahitaji ya vipofu? Tunaweza kuwapata wapi vipofu? Tunaweza kuwaonyeshaje kwamba tunapendezwa nao? Kuna vifaa gani vya kuwasaidia vipofu kufanya maendeleo kiroho?

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 5) Onyesha video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 110

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 30 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki