Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 6
  • Yakobo Anaoa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yakobo Anaoa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Dada Waliotaabika Ambao ‘Waliijenga Nyumba ya Israeli’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Yakobo Alithamini Mambo ya Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Yakobo Ana Jamaa Kubwa
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Yakobo Anakwenda Harani
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 29-30

Yakobo Anaoa

29:18-28

Wenzi wa ndoa wakizungumza huku wakiwa wameshikana mikono na kuketi pamoja. Kuna Biblia iliyofunguliwa karibu.

Yakobo hakujua mapema majaribu ambayo angekabili baada ya kufunga ndoa. Raheli na Lea hawakupatana. (Mwa 29:32; 30:1, 8) Hata hivyo, licha ya majaribu, Yakobo alitambua kwamba sikuzote Yehova alikuwa akimsaidia. (Mwa 30:29, 30, 43) Hatimaye, wazao wake wakawa taifa la Israeli.—Ru 4:11.

Leo, wale wanaochagua kufunga ndoa watapatwa na changamoto. (1Ko 7:28) Hata hivyo, wanaweza kufanikiwa katika ndoa na kuwa na furaha kwa kumtegemea Yehova na kutumia kanuni za Biblia.—Met 3:5, 6; Efe 5:33.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki