Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Aprili uku. 5
  • Aprili 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Aprili uku. 5

Aprili 20-26

MWANZO 32-33

  • Wimbo 21 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unapigana Mweleka Kupata Baraka?”: (Dak. 10)

    • Mwa 32:24—Yakobo alipigana mweleka na malaika (w03 8/15 25 ¶3)

    • Mwa 32:25, 26—Yakobo aliazimia kupambana hadi alipopata baraka (it-2 190)

    • Mwa 32:27, 28—Yakobo alibarikiwa kwa sababu ya ustahimilivu wake (it-1 1228)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 32:11, 13-15—Tunaweza kuigaje jitihada za Yakobo za kufanya amani? (w10 6/15 22 ¶10-11)

    • Mwa 33:20—Kwa nini Yakobo aliita madhabahu aliyojenga “Mungu, Mungu wa Israeli”? (it-1 980)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 32:1-21 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Elisia alitumia njia gani kutoa ushahidi ulio sahihi na wenye kusadikisha? Elisia na Megan walishirikianaje kutoa ushahidi?

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? kisha uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 35

  • “Ni Nini Muhimu Zaidi Maishani Mwangu?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Endelea Kukazia Fikira Miradi ya Kiroho.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 111 ¶10-21

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 150 na sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki