Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Aprili uku. 4
  • Yakobo na Labani Wafanya Agano la Amani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yakobo na Labani Wafanya Agano la Amani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Yakobo Alithamini Mambo ya Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Yakobo Anakwenda Harani
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Agano
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Agano Jipya la Mungu Lakaribia Kutimizwa
    Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Aprili uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 31

Yakobo na Labani Wafanya Agano la Amani

31:44-53

Kwa nini Yakobo na Labani walitengeneza rundo la mawe?

  • Lilikuwa ushahidi kwa watu wote waliopita hapo kuhusu agano la amani walilokuwa wamefanya

  • Liliwakumbusha kwamba Yehova alikuwa akitazama kuona ikiwa wangedumisha agano lao la amani

Picha: 1. Kwenye Jumba la Ufalme, akina dada wawili wanatazamana kwa hasira. Nyuma yao akina ndugu na dada wanacheka na kuzungumza. 2. Akina dada hao wawili wameketi kwenye meza mkahawani wakinywa kahawa na kufurahia ushirika. Kuna zawadi iliyofungwa na Biblia mezani.

Leo, Yehova anatarajia watu wake wawe na amani miongoni mwao. Mambo haya matatu yatasaidiaje kudumisha amani au kuirudisha?

  • Kuzungumzia tatizo waziwazi.​—Mt 5:23, 24

  • Kusamehe kwa hiari.​—Kol 3:13

  • Kuwa na subira.​—Ro 12:21

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki