Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 4
  • Mei 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 4

Mei 11-17

MWANZO 38-39

  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Dak.  1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Hakumwacha Yosefu Kamwe”: (Dak. 10)

    • Mwa 39:1—Yosefu alikuwa mtumwa nchini Misri (w14 11/1 12 ¶4-5)

    • Mwa 39:12-14, 20—Yosefu alisingiziwa na kufungwa gerezani (w14 11/1 14-15)

    • Mwa 39:21-23—Yehova aliendelea kuwa pamoja na Yosefu (w14 11/1 15 ¶2)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 38:9, 10—Kwa nini Yehova alimuua Onani? (it-2 555)

    • Mwa 38:15-18—Tunaweza kufikia mkataa gani kuhusu matendo ya Yuda na Tamari? (w04 1/15 30 ¶4-5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 38:1-19 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha waulize wasikilizaji: Dada huyo alimsaidiaje mwenye-nyumba kuelewa ujumbe wake? (th somo la 17) Mhubiri angetoaje utangulizi wa chapisho lililo kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kwanza (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 121

  • “Mwige Yosefu​—Ukimbie Uasherati”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ukimbie Uasherati.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 114

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 26 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki