Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 8
  • Mwige Yosefu​—Ukimbie Uasherati

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mwige Yosefu​—Ukimbie Uasherati
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • “Ukimbieni Uasherati!”
    Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu
  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Ngono?
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Kufuatia Kusudi Lenye Maana Maishani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • “Ukimbieni Uasherati”
    “Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 8
Yosefu akimkimbia mke wa Potifa na kumwacha akiwa ameshika vazi lake mkononi.

MAISHA YA MKRISTO

Mwige Yosefu—Ukimbie Uasherati

Yosefu anatuwekea mfano mzuri tunaposhawishiwa kufanya uasherati. Kila mara mke wa bwana wake alipojaribu kumshawishi, alikataa. (Mwa 39:7-10) Jibu lake: “Ninawezaje kufanya uovu huu mkubwa na kwa kweli nimtendee Mungu dhambi?” lilionyesha kwamba tayari alikuwa amefikiria maoni ya Yehova kuhusu uaminifu katika ndoa. Kisha hali ilipokuwa mbaya, alikimbia badala ya kukaa hapo na kumpa mwanamke huyo nafasi ya kulegeza msimamo wake.—Mwa 39:12; 1Ko 6:18.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA UKIMBIE UASHERATI, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Mee-Kyong akiongea na Jin shuleni.

    Jin alikabili hali gani?

  • Jin akimtazama Mee-Kyong huku akitafakari ombi lake.

    Jin alijiuliza swali gani muhimu Mee-Kyong alipomwomba amsaidie katika somo la hesabu?

  • Ombi la Mee-Kyong lilimwathirije Jin?

  • Jin akizungumza na mjomba wake ambaye ni mzee.

    Jin alipata msaada gani?

  • Jin akikataa ombi la Mee-Kyong la kuwa rafiki.

    Jin alifanya nini ili kuukimbia uasherati?

  • Umejifunza masomo gani kutokana na video hiyo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki