Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 5
  • Mei 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 5

MEI 18-24

MWANZO 40-41

  • Wimbo 8 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Amwokoa Yosefu”: (Dak. 10)

    • Mwa 41:9-13—Farao alisikia kwamba Yosefu angeweza kueleza maana ya ndoto (w15 2/1 14 ¶4-5)

    • Mwa 41:16, 29-32—Yehova alimpa Yosefu uwezo wa kueleza maana ya ndoto za Farao (w15 2/1 14-15)

    • Mwa 41:38-40—Yosefu akawa wa pili katika mamlaka nchini Misri baada ya Farao (w15 2/1 15 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 41:14—Kwa nini Yosefu alijinyoa kabla ya kuingia mbele ya Farao? (w15 11/1 9 ¶1-3)

    • Mwa 41:33—Tunaweza kujifunza nini kutokana na jinsi Yosefu alivyozungumza na Farao? (w09 11/15 28 ¶14)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 40:1-23 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji: Ni nini kinachoonyesha kwamba mume na mke walijitayarisha pamoja kwa ajili ya ziara hii ya kurudia? Ndugu huyo alionyeshaje waziwazi matumizi ya andiko hilo?

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwonyeshe chapisho kutoka kwenye Sanduku letu la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 128

  • Mwige Yosefu—Vumilia Licha ya Kutendewa Isivyo Haki: (Dak. 6) Anza kwa kuonyesha video yenye kichwa Uwe Rafiki ya Yehova—Vumilia Licha ya Kutendewa Isivyo Haki. Kisha waalike watoto jukwaani, na uwaulize: Caleb na Sofia walitendewaje isivyo haki? Unafikiri walijifunza nini kutokana na mfano wa Yosefu?

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 9)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 115

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 124 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki