Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 5
  • Yehova Amwokoa Yosefu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Amwokoa Yosefu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • “Ninawezaje Kufanya Ubaya Huu Mkubwa?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • “Je, Mimi Niko Mahali pa Mungu?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Yehova Anakusaidia Ili Ufanikiwe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Alikuwa Baba na Mume Aliyemwogopa Mungu
    Igeni Imani Yao
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 40-41

Yehova Amwokoa Yosefu

41:9-13, 16, 29-32, 38-40

Yosefu aliteseka akiwa mtumwa na mfungwa kwa miaka 13 hivi kabla ya Yehova kumwokoa. Badala ya kuwa mchungu, Yosefu alijifunza kutokana na mambo aliyokabili. (Zb 105:17-19) Alijua kwamba Yehova hakumwacha kamwe. Yosefu alifanyaje yote awezayo kulingana na hali yake?

  • Yosefu akiwapa wafungwa wengine chakula.

    Alikuwa mwenye bidii na mwenye kutegemeka, na hivyo kumpa Yehova msingi wa kumbariki.​—Mwa 39:21, 22

  • Yosefu akiwapa wafungwa wengine chakula.

    Alipendezwa na wengine badala ya kupanga jinsi ya kulipiza kisasi dhidi ya wale waliomtendea vibaya.​—Mwa 40:5-7

Mambo ambayo Yosefu alikabili yananisaidiaje kuvumilia matatizo yangu?

Mpaka Yehova atakaponiokoa wakati wa Har–Magedoni, ninawezaje kufanya yote niwezayo licha ya hali zangu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki