Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 6
  • Mei 25-31

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 25-31
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 6

Mei 25-31

MWANZO 42-43

  • Wimbo 120 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yosefu Aonyesha Sifa ya Kujizuia”: (Dak. 10)

    • Mwa 42:5-7—Yosefu aliendelea kuwa mtulivu alipowaona ndugu zake (w15 5/1 13 ¶5; 14 ¶1)

    • Mwa 42:14-17—Yosefu aliwajaribu ndugu zake (w15 5/1 14 ¶2)

    • Mwa 42:21, 22—Ndugu za Yosefu walionyesha kwamba wametubu (it-2 108 ¶4)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 42:22, 37—Rubeni alionyesha sifa zipi nzuri? (it-2 795)

    • Mwa 43:32—Kwa nini lilikuwa jambo lenye kuchukiza kwa Waisraeli kula pamoja na Wamisri? (w04 1/15 29 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 42:1-20 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ndugu huyo alitoaje utangulizi mzuri wa andiko hilo? Kwa nini ndugu huyo alitoa kitabu Biblia Inatufundisha, na alifanyaje hivyo?

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 15)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 38-39 ¶18 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 94

  • “Fahamu Mambo Yote Yanayohusika”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Boresha Usomaji Wako wa Biblia—Kisehemu. Watie moyo wasikilizaji watazame video hiyo yote.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 116

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 79 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki