Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 6
  • Yosefu Aonyesha Sifa ya Kujizuia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yosefu Aonyesha Sifa ya Kujizuia
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • “Je, Mimi Niko Mahali pa Mungu?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Alikuwa Baba na Mume Aliyemwogopa Mungu
    Igeni Imani Yao
  • “Ninawezaje Kufanya Ubaya Huu Mkubwa?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Aliilinda Familia Yake, Akawaandalia, na Akavumilia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 6
Yosefu alikilia huku ndugu zake wakiwa mbali kidogo naye.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 42-43

Yosefu Aonyesha Sifa ya Kujizuia

42:5-7, 14-17, 21, 22

Je, unaweza kuwazia hisia ambazo Yosefu alikuwa nazo alipojikuta ghafla uso kwa uso na ndugu zake? Angeweza kujitambulisha moja kwa moja kisha awakumbatie au kulipiza kisasi. Lakini hakutenda bila kufikiri. Utafanya nini ukitendewa isivyo haki na watu wa familia au wengine? Mfano wa Yosefu unatufundisha faida za kujizuia na kuwa watulivu badala ya kufuata moyo wetu wenye hila na kutenda kupatana na hisia zetu zisizo kamilifu.

Unaweza kumwigaje Yosefu unapokabili hali mbalimbali?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki