Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 2
  • Agosti 3-9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 3-9
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 2

Agosti 3-9

KUTOKA 13-14

  • Wimbo 148 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Simameni Imara Muone Jinsi Yehova Atakavyowaokoa”: (Dak. 10)

    • Kut 14:13, 14​—Musa alionyesha kwamba aliamini Yehova angewakomboa Waisraeli (w13 2/1 4)a

    • Kut 14:21, 22​—Yehova aliwakomboa Waisraeli kimuujiza (w18.09 26 ¶13)

    • Kut 14:26-28​—Yehova aliangamiza Farao na jeshi lake (w09 3/15 7 ¶2-3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 13:17​—Yehova alionyeshaje kwamba aliwajali Waisraeli alipokuwa akiwatoa Misri? (it-1 1117)

    • Kut 14:2​—Ni sehemu gani ya Bahari Nyekundu iliyogawanywa ili Waisraeli wavuke? (it-1 782 ¶2-3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 13:1-20 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Umalizio Wenye Matokeo, kisha mzungumzie somo la 20 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w07 12/15 18-20 ¶13-16​—Kichwa: Tunajifunza Nini Kutokana na Jinsi Waisraeli Walivyookolewa Kwenye Bahari Nyekundu? (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 127

  • “Simama Imara Mwisho Unapozidi Kukaribia”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Matukio ya Wakati Ujao Yatakayohitaji Ujasiri—Kisehemu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 126

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 128 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi; it = Insight on the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; mwb = Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo; bhs = Biblia Inatufundisha Nini; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki