Agosti Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha, Agosti 2020 Mapendekezo ya Kuanzisha Mazungumzo Agosti 3-9 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 13-14 “Simameni Imara Muone Jinsi Yehova Atakavyowaokoa” MAISHA YA MKRISTO Simama Imara Mwisho Unapozidi Kukaribia Agosti 10-16 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 15-16 Msifu Yehova kwa Wimbo MAISHA YA MKRISTO Msifu Yehova Ukiwa Painia Agosti 17-23 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 17-18 Wanaume Wenye Kiasi Huwazoeza na Kuwakabidhi Wengine Majukumu Agosti 24-30 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 19-20 Zile Amri Kumi Zinakuhusuje? Agosti 31–Septemba 6 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 21-22 Onyesha Una Maoni Kama ya Yehova Kuhusu Uhai