Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 7
  • Agosti 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 7

Agosti 24-30

KUTOKA 19-20

  • Wimbo 88 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Zile Amri Kumi Zinakuhusuje?”: (Dak. 10)

    • Kut 20:3-7​—Mheshimu Yehova, na umwabudu yeye peke yake (w89 11/15 6 ¶1)

    • Kut 20:8-11​—Tanguliza mambo ya kiroho maishani mwako

    • Kut 20:12-17​—Waheshimu wanadamu wenzako (w89 11/15 6 ¶2-3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 19:5, 6​—Kwa nini taifa la kale la Israeli lilipoteza nafasi ya kuwa “ufalme wa makuhani”? (it-2 687 ¶1-2)

    • Kut 20:4, 5​—Yehova ‘anawaadhibuje watoto kwa sababu ya makosa ya baba zao’? (w04 3/15 27 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 19:1-19 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 15)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 68 ¶17-19 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 91

  • Nifanye Nini Ili Nipate Uhuru Zaidi?: (Dak. 6) Mazungumzo. Onyesha video ya vibonzo kwenye ubao. Kisha uwaulize vijana waliohudhuria: Unaweza kufanya nini ili wazazi wako wakuamini? Unapaswa kufanya nini unapokosea? Kwa nini kuwaheshimu wazazi ni muhimu ikiwa unataka kupata uhuru zaidi?

  • Waheshimu Wazazi Wako Waliozeeka: (Dak. 9) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ni changamoto gani zinazoweza kutokea wazazi wanapozeeka? Kwa nini washiriki wa familia wanapaswa kudumisha mawasiliano mazuri wanapoamua aina ya msaada watakaowapatia wazazi wao? Watoto wanaweza kuonyeshaje heshima wanapowatunza wazazi wao?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 129, sanduku “Kupigwa Mijeledi”

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 13 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki