Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 8
  • Agosti 31–Septemba 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 31–Septemba 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 8

Agosti 31–Septemba 6

KUTOKA 21-22

  • Wimbo 141 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Onyesha Una Maoni Kama ya Yehova Kuhusu Uhai”: (Dak. 10)

    • Kut 21:20—Yehova anashutumu kuua (it-1 271)

    • Kut 21:22, 23—Yehova anathamini uhai wa mtoto ambaye bado hajazaliwa (lvs 95 ¶16)

    • Kut 21:28, 29—Yehova anatarajia tuchukue tahadhari ili kudumisha usalama wetu na wa watu wengine (w10 4/15 29 ¶4)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 21:5, 6—Kulingana na mistari hii kujiweka wakfu kwa Yehova kunatunufaishaje? (w10 1/15 4 ¶4-5)

    • Kut 21:14—Mstari huu unaweza kufafanuliwaje? (it-1 1143)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 21:1-21 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike kwenye mikutano. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video). (th somo la 20)

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w09 4/1 31​—Kichwa: Yehova—​Baba ya Wavulana Wasio na Baba. (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 60

  • Thamini Uhai Kama Yehova Anavyouthamini: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha uwaulize wasikilizaji: Ni matatizo gani yanayoweza kutokea wakati wa ujauzito? Kutoka 21:22, 23 inapaswa kuathirije maoni yetu kuhusu kutoa mimba? Kwa nini tunahitaji kuwa na imani na ujasiri ili kufanya uamuzi unaompendeza Yehova? Tumaini la ufufuo linatufariji kwa njia gani?

  • Faida za Kujiweka Wakfu: (Dak. 5) Hotuba inayotegemea Mnara wa Mlinzi la Januari 15, 2010, ukurasa wa 4, fungu la 4-7. Watie moyo wanafunzi wa Biblia wafanye maendeleo kufikia kujiweka wakfu na kubatizwa.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 130

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 15 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki