Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 4
  • Agosti 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 4

Agosti 10-16

KUTOKA 15-16

  • Wimbo 149 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Msifu Yehova kwa Wimbo”: (Dak. 10)

    • Kut 15:1, 2​—Musa na wanaume wa Israeli walimwimbia Yehova sifa (w95 10/15 11 ¶11)

    • Kut 15:11, 18​—Yehova anastahili sifa (w95 10/15 11-12 ¶15-16)

    • Kut 15:20, 21​—Miriamu na wanawake wa Israeli walimwimbia Yehova sifa (it-2 454 ¶1; 698)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 16:13​—Huenda ni kwa nini Yehova alichagua kuwalisha Waisraeli kware walipokuwa nyikani? (w11 9/1 14)

    • Kut 16:32-34​—Mtungi wa mana uliwekwa wapi? (w06 1/15 31)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 16:1-18 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha waulize wasikilizaji: Linda alitumiaje maswali vizuri? Alionyeshaje waziwazi matumizi ya andiko?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? na uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 81

  • “Msifu Yehova Ukiwa Painia”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Dada Watatu Nchini Mongolia. Mhoji ndugu au dada katika kutaniko anayetumikia akiwa painia au ambaye zamani alikuwa painia. Muulize maswali yafuatayo: Umekabiliana na changamoto gani? Umepata baraka gani?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 127, sanduku “Shamba la Damu”

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 16 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki