Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Septemba uku. 2
  • Septemba 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Septemba uku. 2

Septemba 7-13

KUTOKA 23-24

  • Wimbo 34 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usiufuate Umati”: (Dak. 10)

    • Kut 23:1​—Usieneze habari za uwongo (w18.08 4 ¶7-8)a

    • Kut 23:2​—Usiongozwe na umati kutenda maovu (it-1 11 ¶3)

    • Kut 23:3​—Usionyeshe upendeleo (it-1 343 ¶5)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 23:9​—Yehova aliwasaidiaje Waisraeli kutambua umuhimu wa kuwafikiria wageni? (w16.10 9 ¶4)

    • Kut 23:20, 21​—Ni uthibitisho gani unaounga mkono wazo la kwamba malaika anayetajwa katika mstari huu ni Mikaeli? (it-2 393)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 23:1-19 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaliuze wasikilizaji maswali yafuatayo: Mhubiri alikaziaje fikira mambo waliyokubaliana na mwenye nyumba alipojibu kwa njia isiyo sahihi? Mhubiri angetoaje utangulizi wa toleo la watu wote la Mnara wa Mlinzi Na. 3 2020?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha utoe utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? na uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 1)

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w16.05 30-31​—Kichwa: Ni Nini Kinachoweza Kuwasaidia Wakristo Waamue Ikiwa Inafaa Kuwapa Zawadi au Bakshishi Wafanyakazi wa Serikali? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 124

  • “Jihadhari Usieneze Habari za Uwongo”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ya vibonzo kwenye ubao yenye kichwa Ninawezaje Kuacha Kupiga Porojo?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) jy sura ya 131

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 145 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la watu wote; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; w = Mnara wa Mlinzi; it = Insight On the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu; km = Huduma Yetu ya Ufalme!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki