Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Septemba uku. 2
  • Usifuate Umati

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usifuate Umati
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Umati Mkubwa Usioweza Kuhesabiwa Utabarikiwa na Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Uwe Tayari Kuwasamehe Wengine
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Porojo—Kwa Nini Zavutia?
    Amkeni!—1992
  • Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Septemba uku. 2
Wanaume na wanawake wakitazama habari kwenye simu za mkononi na kwenye televisheni kubwa katika eneo la umma.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 23-24

Usiufuate Umati

23:1-3

Onyo ambalo Yehova aliwapa mashahidi na mahakimu katika kesi za kihukumu kwamba wasiyumbishwe na umati kutoa ushahidi wa uwongo au hukumu iliyopotoshwa, linahusika pia katika maeneo mengine maishani. Kila wakati ulimwengu unajaribu kuwasonga Wakristo wafikiri na kutenda kama watu wasiomheshimu Yehova wanavyofanya.​—Ro 12:2.

Kwa nini si jambo la hekima kuufuata umati

  • tunaposikia fununu au porojo ambazo hazijathibitishwa?

  • tunapochagua mavazi, mitindo ya nywele, au burudani?

  • tunapofikiri kuhusu au kushughulika na watu ambao rangi, utamaduni, hali ya kiuchumi ni tofauti na yetu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki