Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 2
  • Umati Mkubwa Usioweza Kuhesabiwa Utabarikiwa na Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Umati Mkubwa Usioweza Kuhesabiwa Utabarikiwa na Yehova
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Umati Mkubwa Unatoa Utumishi Mtakatifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
  • Umati Mkubwa Mbele ya Kiti cha Ufalme cha Yehova
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
  • “Tazama! Umati Mkubwa”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | UFUNUO 7-9

Umati Mkubwa Usioweza Kuhesabiwa Utabarikiwa na Yehova

7:9, 14-17

Umati mkubwa uliovaa kanzu nyeupe ukiwa na matawi ya mitende mikononi

Kwa nini Yehova anabariki umati mkubwa?

  • “Wamesimama mbele ya kiti cha ufalme” cha Yehova, wakiunga mkono kabisa enzi kuu ya Yehova

  • “Wamevaa kanzu nyeupe,” jambo linaloonyesha msimamo wao safi wa uadilifu mbele za Yehova kwa sababu ya imani yao katika dhabihu ya Kristo

  • Wanamtolea “utumishi mtakatifu mchana na usiku,” wakimwabudu Yehova bila kuacha na kwa jitihada zao zote

Ninapaswa kufanya nini ili niwe sehemu ya umati mkubwa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki