Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Septemba uku. 4
  • Septemba 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Septemba uku. 4

Septemba 14-20

KUTOKA 25-26

  • Wimbo 18 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kitu Muhimu Zaidi Katika Hema la Ibada”: (Dak. 10)

    • Kut 25:9​—Yehova aliandaa kielelezo kwa ajili ya kujenga sanduku la agano (it-1 165)

    • Kut 25:21​—Sanduku la Agano lilihifadhi mabamba matakatifu ya ushahidi (it-1 166 ¶2)

    • Kut 25:22​—Sanduku la Agano lilihusianishwa na kuwepo kwa Mungu (it-1 166 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 25:20​—Huenda ni kwa nini makerubi waliokuwa juu ya kifuniko cha Sanduku la Agano walisujudu na kunyoosha mabawa yao? (it-1 432 ¶1)

    • Kut 25:30​—Mkate wa wonyesho ulikuwa na umuhimu gani? (it-2 936)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 25:23-40 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji: Mhubiri alionyeshaje uchangamfu na hisia mwenzi? Mhubiri angewezaje kutoa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia?

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 8)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 23

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 5) Onyesha video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) jy sura ya 132, sanduku “Atundikwe Mtini”

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 20 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki