Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Novemba uku. 3
  • Novemba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Novemba uku. 3

Novemba 9-15

MAMBO YA WALAWI 1-3

  • Wimbo 20 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kusudi la Dhabihu”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Mambo ya Walawi.]

    • Law 1:3; 2:1, 12— Kusudi la dhabihu za kuteketezwa na matoleo ya nafaka (it-2 525; 528 ¶4)

    • Law 3:1—Kusudi la dhabihu za ushirika (it-2 526 ¶1)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 2:13—Kwa nini chumvi ilipaswa kutolewa pamoja na “kila toleo”? (Eze 43:24; w04 5/15 22 ¶1)

    • Law 3:17—Kwa nini Waisraeli walikatazwa kula mafuta, na tunajifunza somo gani? (it-1 813; w04 5/15 22 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 1:1-17 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 53

  • “Thamani ya ‘Sarafu Mbili Ndogo’”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Onyesha video yenye kichwa ‘Jaza Mkono Zawadi kwa Ajili ya Yehova.’ Soma barua ya shukrani kutoka kwenye ofisi ya tawi kwa ajili ya michango iliyopokewa mwaka wa utumishi uliopita.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) jy uku. 317

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 120 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki