Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Novemba uku. 4
  • Novemba 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Novemba uku. 4

Novemba 16-22

MAMBO YA WALAWI 4-5

  • Wimbo 84 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mpe Yehova Kilicho Bora”: (Dak. 10)

    • Law 5:5, 6—Waliotenda dhambi za aina fulani walipaswa kutoa dhabihu ya hatia—mwanakondoo au mwanambuzi (it-2 527 ¶9)

    • Law 5:7—Waliokuwa maskini sana kutoa mwanakondoo au mwanambuzi wangeweza kutoa njiwa tetere wawili au hua wawili (w09 6/1 26 ¶3)

    • Law 5:11—Waliokuwa maskini kiasi cha kushindwa kutoa njiwa tetere au hua wangeweza kutoa sehemu ya kumi ya kipimo cha efa moja (w09 6/1 26 ¶4)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 5:1—Mstari huo unawahusuje Wakristo? (w16.02 30 ¶14)

    • Law 5:15, 16—Huenda ni kwa njia gani mtu ‘alikosa uaminifu kwa kutenda dhambi bila kukusudia kwa kuvunja sheria kuhusu vitu vitakatifu vya Yehova’? (it-1 1130 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 4:27–5:4 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo, lakini utumie Isaya 9:6, 7. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo, lakini utumie Zaburi 72:16. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 209 ¶22-23 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 81

  • Tumefanya Upainia Pamoja kwa Miaka 60—Ni kwa Msaada wa Yehova Tu: (Dak. 15) Onyesha video. Kisha uliza maswali yafuatayo: Takako na Hisako wamefurahia mapendeleo na shangwe zipi katika mgawo wao? Takako amekabili changamoto zipi za afya, na ni nini ambacho kimemsaidia? Ni nini ambacho kimewaletea shangwe na uradhi wa kweli? Simulizi lao linakaziaje mawazo yanayotajwa katika maandiko yafuatayo: Methali 25:11; Mhubiri 12:1; Waebrania 6:10?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr “Barua Kutoka kwa Baraza Linaloongoza” na “Ufafanuzi wa Sehemu za Pekee”

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 95 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki