Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 2
  • Desemba 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 2

Desemba 7-13

MAMBO YA WALAWI 10-11

  • Wimbo 32 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mpende Yehova Kuliko Familia”: (Dak. 10)

    • Law 10:1, 2​—Yehova aliwaua Nadabu na Abihu kwa sababu walimtolea moto haramu (it-1 1174)a

    • Law 10:4, 5​—Miili yao ilitolewa nje ya kambi

    • Law 10:6, 7​—Yehova alimwamuru Haruni na wanawe wasiomboleze (w11 7/15 31 ¶16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 10:8-11​—Tunaweza kujifunza nini kutokana na mistari hii? (w14 11/15 17 ¶18)

    • Law 11:8​—Je, Wakristo wanapaswa kuepuka kula wanyama ambao Sheria ya Musa ilikataza? (it-1 111 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 10:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video kisha waulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Tony alikabilianaje na kizuia-mazungumzo? Unaweza kumfafanuliaje mtu Zaburi 1:1, 2?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Anza kwa pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mpe mwenye nyumba mwaliko wa kuhudhuria mikutano, na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video). (th somo la 20)

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w11 2/15 12​—Kichwa: Hasira ya Musa Dhidi ya Eleazari na Ithamari Ilitulizwa Jinsi Gani? (th somo la 12)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 51

  • “Tunaonyesha Upendo kwa Kuunga Mkono Nidhamu Inayotoka kwa Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Dumisha Ushikamanifu Ukiwa na Moyo Imara.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr sura ya 1 ¶15-19, sanduku 1B

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 15 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; it = Insight on the Scriptures; w = Mnara wa Mlinzi; rr = Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!; wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Watu Wote; g = Amkeni!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki