Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 2
  • Mpende Yehova Zaidi ya Familia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mpende Yehova Zaidi ya Familia
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi ya Kushughulika na Mtu Aliyetengwa na Ushirika
    “Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Onyesha Uaminifu wa Kikristo Mtu wa Ukoo Anapotengwa na Ushirika
    Huduma Yetu ya Ufalme—2002
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 2
Kuhani Mkuu Haruni akiwa amesimama kwenye ua wa hema la ibada. Binamu wawili wa Haruni wakibeba maiti za Nadabu na Abihu kwenye machela nje ya kambi.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MAMBO YA WALAWI 10-11

Mpende Yehova Kuliko Familia

10:1, 2, 4-7

Nadabu na Abihu wakibeba vyetezo zilizojaa uvumba uliowashwa moto.

Ushikamanifu wetu kwa Yehova unaweza kujaribiwa sana mpendwa wetu anapotengwa na ushirika. Kwa msingi wa maagizo ambayo Yehova alimpa Haruni, wale ambao mtu wao wa ukoo ametengwa na ushirika wanapaswa kuacha kushirikiana naye kabisa. Tunapaswa kumpenda Yehova kuliko tunavyowapenda watu wa familia ambao si waaminifu.

Tunapata baraka gani kwa kutii mwongozo wa Yehova kuhusu waliotengwa na ushirika?​—1Ko 5:11; 2Yo 10, 11

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki