Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 6
  • Desemba 28, 2020–Januari 3, 2021

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 28, 2020–Januari 3, 2021
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 6

Desemba 28, 2020–Januari 3, 2021

MAMBO YA WALAWI 16-17

  • Wimbo 41 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Siku ya Kufunika Dhambi Inakuhusuje?”: (Dak. 10)

    • Law 16:12—Kwa njia ya mfano, kuhani mkuu alienda mbele ya kuwapo kwa Yehova (w19.11 21 ¶4)

    • Law 16:13—Kuhani mkuu alimtolea Yehova uvumba (w19.11 21 ¶5)

    • Law 16:14, 15—Baada ya hapo kuhani mkuu alifunika dhambi za makuhani na watu wote (w19.11 21 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 16:10—Ni katika njia zipi mbuzi wa Azazeli aliwakilisha dhabihu ya Yesu? (it-1 226 ¶3)

    • Law 17:10, 11—Kwa nini tunakataa kutiwa damu mishipani? (w14 11/15 10 ¶10)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 16:1-17 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia mazungumzo cha kawaida. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho la funzo. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) fg somo la 1 ¶1-2 (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 70

  • “Je, Ungependa Kuhudhuria Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Wamishonari Walio Shambani—Wafanyakazi Katika Mavuno.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr sura ya 2 ¶19-27

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 50 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki