Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 4
  • Januari 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 4

Januari 11-17

MAMBO YA WALAWI 20-21

  • Wimbo 80 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Amewatenga Watu Wake”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 21:5—Kwa nini Sheria ya Mungu ilikataza kujikatakata mwilini? (it-1 563)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Law 20:1-13 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ziara ya Kurudia: Sala—1Yo 5:14. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mtolee mwenye nyumba broshua Habari Njema na uanzishe funzo la Biblia kwa kutumia somo la 12. (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 131

  • “Ilinde Ndoa Yako”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Lazima “Tukimbie kwa Uvumilivu”—Tii Sheria za Shindano.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sehemu ya 1, sura ya 3 ¶1-10, video ya utangulizi, sanduku 3A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 94 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki