Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 6
  • Januari 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 6

Januari 18-24

MAMBO YA WALAWI 22-23

  • Wimbo 86 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Sherehe Zilizo na Maana Kwetu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 22:21, 22—Kwa nini ushikamanifu na utimilifu wetu kwa Yehova unapaswa kuwa kamili? (w19.02 3 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Law 23:9-25 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa gazeti linalopatana na habari ambayo mwenye nyumba ametokeza. (th somo la 13) 

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 9)

  • Hotuba: (Dak. 5) w07 7/15 26—Kichwa: Ni Nani Aliyevuna Matunda ya Kwanza ya Shayiri Ambayo Yaliletwa Katika Patakatifu? (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 87

  • “Makusanyiko ya Kila Mwaka—Fursa za Kuonyesha Upendo”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Makusanyiko ya Kimataifa ya “Upendo Haushindwi Kamwe”!

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 3 ¶11-20

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 9 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki