Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 11
  • Aprili 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 11

Aprili 12-18

HESABU 20-21

  • Wimbo 114 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Dumisha Upole Unaposhinikizwa”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 20:23-27—Tunaweza kujifunza mambo gani kutokana na jinsi Haruni alivyotenda baada ya kupewa nidhamu na kutokana na jinsi Yehova alivyomwona licha ya makosa yake? (w14 6/15 26 ¶12)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 20:1-13 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th  somo la 3)

  • Hotuba: (Dak. 5) g 1/15 9—Kichwa: Ninawezaje Kudhibiti Hasira? (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 90

  • Sema “Neno Jema kwa Ajili ya Kuwajenga” Wengine: (Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Kulalamika huwaathirije wengine? Ni nini kilichomsaidia ndugu katika video hiyo kufanya mabadiliko?

  • Simama Imara Unaposhinikizwa na Marafiki!: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video ya vibonzo kwenye ubao. Kisha waulize wasikilizaji: Watu wengi hushinikizwa kwa njia gani? Ni ushauri gani unaopatikana katika Kutoka 23:2? Ni hatua gani nne zinazoweza kutusaidia tunaposhinikizwa na marafiki?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 7 ¶16-23

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 129 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki