Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 11
  • Dumisha Upole Unaposhinikizwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dumisha Upole Unaposhinikizwa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Kuendelea Kuwa na Kibali cha Mungu Hali Zinapobadilika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Tafuta Upole Umpendeze Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Endelea Kuonyesha Unampenda Yehova Kadiri Gani
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 11
Ndugu kijana akiondoka kwenda mkutano wa Kikristo. Baba yake ambaye si Shahidi anamgombeza lakini anaendelea kuwa mtulivu. Nyumba imepambwa sanamu za kidini na mti wa Krismasi.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Dumisha Upole Unaposhinikizwa

Upole wa Musa ulijaribiwa aliposhinikizwa na alipokuwa na mkazo (Hes 20:2-5; w19.02 12 ¶19)

Kwa muda fulani, Musa alikosa kuonyesha upole (Hes 20:10; w19.02 13 ¶20-21)

Yehova aliwatia nidhamu Musa na Haruni kwa kosa hilo zito (Hes 20:12; w09 9/1 19 ¶5)

Upole unamaanisha kutokasirika haraka, kutokuwa na kiburi au kuepuka kujiona kuwa bora. Upole unatusaidia kuvumilia kwa subira tunapokosewa na kuepuka kukasirika, kuwa na kinyongo, au kulipiza kisasi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki