Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 8
  • Endelea Kuonyesha Unampenda Yehova Kadiri Gani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Endelea Kuonyesha Unampenda Yehova Kadiri Gani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Unavyoweza Kuwa Rafiki ya Mungu
    Biblia Inatufundisha Nini?
  • Ayubu Alilitukuza Jina la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Si Lazima Uwe Mkamilifu Ili Uwe Mtimilifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Unahusika Katika Suala la Maana Sana!
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 8

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Endelea Kuonyesha Unampenda Yehova Kadiri Gani

[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Ayubu.]

Shetani alidai kwamba Ayubu anachochewa na ubinafsi kumpenda na kumtumikia Yehova (Ayu 1:​8-11; w18.02 6 ¶16-17)

Shetani anadai kwamba hatumpendi Yehova kutoka moyoni (Ayu 2:​4, 5; w19.02 5 ¶10)

Dada aliyevaa kofia ngumu akimtolea ushahidi mwanamke baada ya msiba wa asili.

Yehova amempa kila mmoja wetu nafasi ya kumthibitisha Shetani kuwa mwongo. (Met 27:11) Tunaweza kumwonyesha Yehova tunampenda kadiri gani kwa kumtanguliza maishani mwetu chini ya hali nzuri au mbaya.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki