Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 10
  • Si Lazima Uwe Mkamilifu Ili Uwe Mtimilifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Si Lazima Uwe Mkamilifu Ili Uwe Mtimilifu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Dumisha Utimilifu Wako!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Tutatembea Katika Utimilifu Wetu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Ukamilifu wa Ayubu—Ni Nani Anayeweza Kuuiga?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Kwa Nini Uendelee Kuwa Mtimilifu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 10

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Si Lazima Uwe Mkamilifu Ili Uwe Mtimilifu

Ayubu alikosea kumchambua Mungu (Ayu 27:​1, 2)

Ingawa Ayubu alifanya makosa, angeweza kujiona kuwa mwanamume mtimilifu (Ayu 27:5; it-1 1210 ¶4)

Ili kuwa mtimilifu mtu anapaswa kumpenda Yehova kwa moyo wote, si kuwa mkamilifu (Mt 22:37; w19.02 3 ¶3-5)

Ndugu akihuzunikia makosa yake ya zamani. Baadaye, anaonekana akiwa na furaha na uhakika.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Kujua kwamba Yehova hatarajii tuwe wakamilifu kunatusaidiaje tusife moyo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki