Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 12
  • Aprili 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 12

Aprili 19-25

HESABU 22-24

  • Wimbo 8 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Anabadili Laana Kuwa Baraka”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 22:20-22—Kwa nini hasira ya Yehova iliwaka dhidi ya Balaamu? (w04 8/1 27 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 23:11-26 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • “Ongeza Shangwe Yako Katika Huduma—Tumia Neno la Mungu”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Waonyeshe Nguvu za Neno la Mungu.

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) fg somo la 5 ¶3-4 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 38

  • “Yehova Anabadili Mateso Kuwa Ushahidi”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Mahojiano na Ndugu Dmitriy Mikhaylov.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 7 ¶24-30, sanduku 7B

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 21 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki