Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 14
  • Aprili 26–Mei 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 26–Mei 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 14

Aprili 26–Mei 2

HESABU 25-26

  • Wimbo 135 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Mtu Mmoja Anaweza Kubadili Mambo?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 26:55, 56—Hekima ya Yehova ilionekanaje kutokana na jinsi ardhi ilivyogawanywa kati ya makabila ya Israeli?(it-1 359 ¶1-2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 25:1-18 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video na uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 3)

  • Hotuba: (Dak. 5) w04 4/1 29—Kichwa: Kwa Nini Andiko la Hesabu 25:9 Linatoa Idadi Tofauti na 1 Wakorintho 10:8? (th somo la 17)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 28

  • “Chagua Marafiki Wako kwa Hekima”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Vielelezo vya Kuonya Leo—Kisehemu. Watie moyo wote watazame video hiyo nzima.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sehemu ya 3, sura ya 8 ¶1-7, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 44 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki