Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 14
  • Je, Mtu Mmoja Anaweza Kubadili Mambo?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Mtu Mmoja Anaweza Kubadili Mambo?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Yehova Anavyowaongoza Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • “Mimi Ni . . . Urithi Wako”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yehova Anabadili Laana Kuwa Baraka
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Imani Inavyotufanya Tuwe Jasiri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 14

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Mtu Mmoja Anaweza Kubadili Mambo?

Wamoabu waliwashawishi Waisraeli kutenda maovu (Hes 25:1, 2; lvs 118 ¶1-2)

Ukosefu wa ushikamanifu na ubinafsi wa Waisraeli ulimkasirisha Yehova (Hes 25:3-5; lvs 119 ¶4)

Yehova aliacha kuwa na ghadhabu kwa sababu ya tendo la ujasiri la mtu mmoja (Hes 25:6-11)

Dada kijana akitumia broshua ‘Chanzo cha Uhai’ kuwatolea ripoti wanafunzi wenzake. Mwanafunzi mmoja ananyoosha mkono wake.

JIULIZE, ‘Ni katika hali gani ninahitaji kutenda kwa ujasiri hata ikiwa wengine wanatenda kwa njia tofauti?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki