Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 6
  • Jinsi Imani Inavyotufanya Tuwe Jasiri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi Imani Inavyotufanya Tuwe Jasiri
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Rahabu Anaficha Wapelelezi
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Wale Wapelelezi Kumi na Wawili
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • “Wafukuze Wakaaji Wote wa Nchi”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Wapelelezi 12
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 6
Yoshua na Kalebu wakiwaonyesha wapelelezi fungu la zabibu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jinsi Imani Inavyotufanya Tuwe Jasiri

Wapelelezi walioleta ripoti mbaya walikosa imani (Hes 13:31-33; 14:11)

Ukosefu wa imani wa wapelelezi kumi uliwavunja moyo ndugu zao (Hes 14:1-4)

Wapelelezi waliodumisha ujasiri walikuwa na imani yenye nguvu (Hes 14:6-9; w06 10/1 16-17 ¶5-6)

Tayari Waisraeli walikuwa wamejionea matendo ya wokovu ambayo Yehova alikuwa amefanya kwa niaba yao. Hilo lilipaswa kuimarisha imani yao kwamba angewasaidia kushinda nchi ya Kanaani.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki