Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 12
  • Yehova Anabadili Laana Kuwa Baraka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anabadili Laana Kuwa Baraka
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Utumishi wa Walawi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Masomo Tunayojifunza Kutokana na Kambi ya Israeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Yehova Anavyowaongoza Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Kwa Nini Uepuke Roho ya Kulalamika?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 12
Dada wawili wakimhubiria mwanamke anayesafisha nyumba yake baada ya msiba wa asili.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Anabadili Laana Kuwa Baraka

Wamoabu walijaribu kuwadhuru Waisraeli (Hes 22:3-6)

Yehova alitenda kwa niaba ya watu wake (Hes 22:12, 34, 35; 23:11, 12)

Hakuna anayeweza kumpinga Yehova kwa mafanikio (Hes 24:12, 13; bt 53 ¶5; it-2 291)

Hakuna jambo lolote linaloweza kuzuia habari njema isihubiriwe kulingana na mapenzi ya Mungu, hata iwe ni mateso au majanga. Tunapokabili matatizo, je, tunamtegemea Baba yetu wa mbinguni na kuendelea kutanguliza ibada yake?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki