Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 4
  • Kwa Nini Uepuke Roho ya Kulalamika?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kwa Nini Uepuke Roho ya Kulalamika?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Sababu kwa Nini Fungu la Mlalamikaji Si Lenye Furaha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Kuepuka Roho ya Manung’uniko
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Je, Kulalamika kwa Namna Zote Ni Kubaya?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Kuridhika na Tengenezo la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 4
Dada aliyekasirika amesimama mbali na ndugu na dada katika Jumba la Ufalme.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Kwa Nini Uepuke Roho ya Kulalamika?

Yehova anachukia roho ya kulalamika (Hes 11:1; w01 6/15 17 ¶20)

Roho ya kulalamika inaonyesha mtu ni mbinafsi na hana uthamini (Hes 11:4-6; w06 7/15 15 ¶7)

Roho ya kulalamika huwavunja moyo wengine (Hes 11:10-15; it-2 719 ¶4)

Ingawa Waisraeli walikabili hali nyingi ngumu walipokuwa nyikani, bado walikuwa na sababu nyingi za kuonyesha uthamini. Tukihesabu baraka zetu tutafaulu kuepuka roho ya kulalamika.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki