Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 2
  • Masomo Tunayojifunza Kutokana na Kambi ya Israeli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Masomo Tunayojifunza Kutokana na Kambi ya Israeli
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Yehova Anavyowaongoza Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yehova Aliwapigania Waisraeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Timiza Nadhiri Zako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Utumishi wa Walawi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Masomo Tunayojifunza Kutokana na Kambi ya Israeli

Wanaume waliowekwa rasmi huongoza katika utumishi mtakatifu (Hes 7:10; it-1 497 ¶3)

Watumishi wa Mungu wanapaswa kuwa na utaratibu na mpango (Hes 7:11; it-2 796 ¶1)

Yehova anaelewa udhaifu wa kila mtu (Hes 8:25, 26; w04 8/1 25 ¶1)

Yehova huwaongoza watu wake leo kwa mpango kama alivyowaongoza Waisraeli. Isitoshe, anamwona kila mmoja wetu na kutambua jitihada tunazofanya ili kumtumikia.

Picha: Wanaume waliowekwa rasmi huongoza katika utendaji wa kutaniko. 1. Ndugu mzee wa kutaniko na ndugu kijana wakisafisha viti vya Jumba la Ufalme. 2. Mzee akiongoza kikundi cha utumishi katika huduma ya nyumba kwa nyumba. 3. Mzee akisali katika mkutano wa wazee.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki